JINA LA UKUMBI | IDADI | GHARAMA YA ukumbi | VAT | TOTAL | MALIPO YA AWALI |
---|---|---|---|---|---|
Mashati hall (jumamosi-jumapili) | 300-350 | 1,000,000/= | 180,000/= | 1,180,000/= | 500,000/= |
Kilema na Nayeme comference room | 10-20 | 200,000/= | 36,000/= | 236,000/= | 200,000/= |
Tarakea Comference room | 20-40 | 300,000/= | 54,000/= | 354,000/= | 200,000/= |
Mashati Hall (jumatatu-ijumaa) | 300-350 | 800,000/= | 144,000/= | 944,000/= | 400,000/= |
Kwa mahitaji ya ukumbi
piga simu na utahudumiwa moja kwa moja na muhudumu wetu. na mtaweza kujadiliana ili kufanikisha mkutano au sherehe yako. Asante SanaTupigieMASHARTI UKUMBI
Idadi ya viti inatolewa kulingana na idadi ya sahani zilizolipiwa.
Mtapatiwa mhudumu mmoja kwa kila watu 50.
Tunalo generator endapo umeme utakatika.
Muda wa kumaliza shughuli ni saa 6:00 usiku.(tafadhali zingatia hilo)
Hairuhusiwi kuingiza vinywaji kutoka nje zaidi ya vile ambavyo utalipia.
Parking ni ya uhakika na yakutosha pamoja na walinzi wa uhakika.
Hakikisha watu wote walioalikwa katika sherehe yako wanalingana na sahani ulizo Iipia.
lkiwa umelipia ukumbi hakikisha unakamilisha malipo yote siku tano kabla ya shughuli.
Vinywaji vitakavyo baki katika sherehe ni vyako,haturudishi pesa pia utatakiwa kuvichukua ndani ya siku tatu.
Endapo utahairisha shughuli yako hatutarudisha pesa.
Muda wa kukabidhiana vinywaji ni saa 4:00 asubuhi, chakula ni saa 11:00 jioni
Tunatoa ofa ya maji kwenye chakula kuanzia watu 300 box